Pages

Wednesday, 13 November 2013

PICHA YA
wananchi wa kata ya ipala waki changia hoja iliyo wakilishwa na wasanii katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo wakiwa na MANJU ROBSON CHINYULI
Wasanii wakiwa katika  semina ya mafunzo ya afya ya uzazi mama na mtoto na sanaa kwa maendeleo wakimsikiliza MR JUMA BAKARI MKUU MSTAAFU WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO KATIKA UKUMBI WA POLISI JA
MII DODOMA KIKUNDI HIKI NDIYO KILICHO CHAGULIWA NA KITATOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI MPAKA MWAKA 2015 PIA ALIKUWEPO MAMA CRISTA KOMBA TOKA BAGAMOYO NA DOCTA SANGA TOKA WIZARA YA AFYA NA MAAFISA UTAMADUNI WA DODOMA NA KONDOA

wasanii wa the challenge arts goup SAIDI BAKAR HADJA YUSUPHU AWETU MMASI NA SHUKURU WILSONI wakiwa katika igizo linalo itwa kosa ni la nani katika kata ya homboro bwawani wakitoa elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto
wasanii wakiwa katika igizo la kosa ni la nani hombolo bwawani wakitoa elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto chini ya udhamini wa JHI kwa kushilikiana na WIZARA YA AFYA NA HOSPITALI YA AGAKHANI wasanii wanao wajibika ni SHUKULU WILSONI SAIDI SALUMU NA AWETU MMASI
wakazi wa homboro bwawani waki fuatilia onyesho la igizo kutoka kwa wasanii wa the chalenge arts group

wasanii wakiwajibika jukwaani wakiigiza igizo la andoya AMINA JUMA NA CRISTINA CHIPANGA SHULE YA MSINGI CHAMWINO DODOMA MJINI WAKITOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO CHINI YA UDHAMINIWA JHI
wasanii wakiwajibika jukwaani wakiigiza igizo la andoya kata ya hombolo makulu dodoma mjini wasnii hao wakiwa katika umbo mgando na manju wa igizo lao akiwa tayali kushilikisha jamii wasanii hao ni CHRISTOPHAR PETER SHUKULU WILSONI NEEMA RAPHAELI AMINA JUMA CRISTINA CHIPANGA NA MANJU ALFA UZALE
JUMA ACHIKONGO msanii wa the chalenge arts group akiwajibika jukwaani akicheza na moto katika kata ya HOMBOLO MAKULU mambo ya afya ya uzazi mama na mtoto pembeni yake ni manju ALFA UZALE  wakiwajibika
wasanii wakiwajibika jukwaani wakicheza sebene  kata ya hombolo makulu wasanii hao niSHUKULU WILSON DANIEL KAKOME LUCY JELEMIA SHABANI MAULA NA MANJU WAO ALFA UZALE MAMBO YA HOSPITALI YA AGAKHANI NA MPANGO WAO WA TUUNGANISHE MIKONO PAMOJA
Wasanii wakicheza kwaito katika moja ya buludani walizo wapa wananchi wa hombolo makulu watu wanao zidi 2500 walipata elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto chini ya mpango wa tuunganishe mikono pamojaJHI  NA WIZARA YA AFYA
Mjini ni mjini mkazi wa kata ya madukani baada ya kufulahia elimu aliyo ipata ya afya ya uzazi naye aliigiza igizo shilikishi manju ROBSON CHINYULI MONYE KANZU AKIMFUATILIA KWA UKALIBU MAMBO YA JHI
WAsanii wakiwajibika JASMINI BAKHEMA LUCY JELEMIA  HADIJA YUSUPHU wakicheza igizo linalo itwa alaumiwe nani hombolo bwawani mambo ya JHI
WASANII wakiwajibika na igizo la alaumiwe nani JASMINI BAKHEMA NA SALUMU BAKALI KATA YA MADUKANI mambo ya JHI
WASANII WAKIWAJIBIKA JUKWAANI IGIZO LA KOSA NI LA
NANI KATA YA MADUKANI SHUKULU WILSONI HADIJA YUSUPHU SAIDI SALUMU AWETU MMASI MANJU ROBSON CHINYULI


wasanii wa the challenge arts group wakiwa katika uelimishaji wa afya ya uzazi mama na mtoto hombolo bwawani manispaa ya dodoma majina yao ni juma matiasi cristina chipanga na amina juma

Tuesday, 23 April 2013

MUUNDO WA UTENDAJI WA KAZI WA KAMPUNY MAKUNDI YALIYOPO KATIKA KAMPUNY

(I) THE CHALLENGE DRAMA ARTS  GROUP

(II)THE CHALLENGE MUSIC GROUP

(III)THE CHALLENGE STORY CREW

(IV)THE CHALLENGE VIDIO PRODUCTION CREW

(V)THE CHALLENGE MUSIC AUDIO CREW

MUUNDO WA UONGOZI WA CAMPUNY NA MAKUNDI YALIYOPO KATIKAKA CAMPUNI

UONGOZI WA KAMPUNI WA JUU

(I)MANAGING DIRECTOR ALPHA UZALE

(II)CHIEF EXECUTIVE DIRECTOR YONNA NASANIA

(III)PROGRAM DIRECTOR FRANK SIMONI

(IV)PRODUCTION MANAGER DANIEL NOEL 

UONGOZI WA MAKUNDI YALIYOPO KATIKA KAMPUNI
(I) PETER MARYA THE CHALLENGE GROUP