Pages

Wednesday, 13 November 2013

wasanii wa the challenge arts goup SAIDI BAKAR HADJA YUSUPHU AWETU MMASI NA SHUKURU WILSONI wakiwa katika igizo linalo itwa kosa ni la nani katika kata ya homboro bwawani wakitoa elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto
wasanii wakiwa katika igizo la kosa ni la nani hombolo bwawani wakitoa elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto chini ya udhamini wa JHI kwa kushilikiana na WIZARA YA AFYA NA HOSPITALI YA AGAKHANI wasanii wanao wajibika ni SHUKULU WILSONI SAIDI SALUMU NA AWETU MMASI
wakazi wa homboro bwawani waki fuatilia onyesho la igizo kutoka kwa wasanii wa the chalenge arts group

wasanii wakiwajibika jukwaani wakiigiza igizo la andoya AMINA JUMA NA CRISTINA CHIPANGA SHULE YA MSINGI CHAMWINO DODOMA MJINI WAKITOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO CHINI YA UDHAMINIWA JHI
wasanii wakiwajibika jukwaani wakiigiza igizo la andoya kata ya hombolo makulu dodoma mjini wasnii hao wakiwa katika umbo mgando na manju wa igizo lao akiwa tayali kushilikisha jamii wasanii hao ni CHRISTOPHAR PETER SHUKULU WILSONI NEEMA RAPHAELI AMINA JUMA CRISTINA CHIPANGA NA MANJU ALFA UZALE
JUMA ACHIKONGO msanii wa the chalenge arts group akiwajibika jukwaani akicheza na moto katika kata ya HOMBOLO MAKULU mambo ya afya ya uzazi mama na mtoto pembeni yake ni manju ALFA UZALE  wakiwajibika
wasanii wakiwajibika jukwaani wakicheza sebene  kata ya hombolo makulu wasanii hao niSHUKULU WILSON DANIEL KAKOME LUCY JELEMIA SHABANI MAULA NA MANJU WAO ALFA UZALE MAMBO YA HOSPITALI YA AGAKHANI NA MPANGO WAO WA TUUNGANISHE MIKONO PAMOJA
Wasanii wakicheza kwaito katika moja ya buludani walizo wapa wananchi wa hombolo makulu watu wanao zidi 2500 walipata elimu ya afya ya uzazi mama na mtoto chini ya mpango wa tuunganishe mikono pamojaJHI  NA WIZARA YA AFYA
Mjini ni mjini mkazi wa kata ya madukani baada ya kufulahia elimu aliyo ipata ya afya ya uzazi naye aliigiza igizo shilikishi manju ROBSON CHINYULI MONYE KANZU AKIMFUATILIA KWA UKALIBU MAMBO YA JHI
WAsanii wakiwajibika JASMINI BAKHEMA LUCY JELEMIA  HADIJA YUSUPHU wakicheza igizo linalo itwa alaumiwe nani hombolo bwawani mambo ya JHI
WASANII wakiwajibika na igizo la alaumiwe nani JASMINI BAKHEMA NA SALUMU BAKALI KATA YA MADUKANI mambo ya JHI
WASANII WAKIWAJIBIKA JUKWAANI IGIZO LA KOSA NI LA
NANI KATA YA MADUKANI SHUKULU WILSONI HADIJA YUSUPHU SAIDI SALUMU AWETU MMASI MANJU ROBSON CHINYULI


No comments:

Post a Comment