Pages

Wednesday, 13 November 2013

PICHA YA
wananchi wa kata ya ipala waki changia hoja iliyo wakilishwa na wasanii katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo wakiwa na MANJU ROBSON CHINYULI
Wasanii wakiwa katika  semina ya mafunzo ya afya ya uzazi mama na mtoto na sanaa kwa maendeleo wakimsikiliza MR JUMA BAKARI MKUU MSTAAFU WA CHUO CHA SANAA BAGAMOYO KATIKA UKUMBI WA POLISI JA
MII DODOMA KIKUNDI HIKI NDIYO KILICHO CHAGULIWA NA KITATOA ELIMU YA AFYA YA UZAZI MPAKA MWAKA 2015 PIA ALIKUWEPO MAMA CRISTA KOMBA TOKA BAGAMOYO NA DOCTA SANGA TOKA WIZARA YA AFYA NA MAAFISA UTAMADUNI WA DODOMA NA KONDOA

No comments:

Post a Comment